VICTORIA HOTEL NI HOTEL MPYA MJINI MTWARA INAYOTEGEMEA KUFUNGULIWA SIKU CHACHE ZIJAZO MAENEO YA SHANGANI WEST MMILIKI WA HOTEL ANAPENDA KUTANGAZA NAFASI HIZI ZA KAZI ZILIZOZOBAKIA ZINAZOHITAJIKA KUJAZWA HARAKA IWEZEKANAVYO.
RECEPTIONIST/ MAPOKEZI MTU MMOJA
1. Awe mkarimu mwenye kupenda kuongea na wageni na uwezo wa kujielezea
kwa lugha fasaha Kiswahili na kiingereza
2. Awe mwenye huruma, heshima na mvumilivua kwa wageni pia apende
kujituma na kuipenda kazi yake.
3. Awe na uzoefu wa kazi hii kuanzia mwaka mmoja na kuendelea katika hotel.
4. Aweze msafi / Mtanashati kwakila kitu.
5. Awe anaweza kutumia compyuta vizuri Ms word, Ms Exell, na internet
6. Aweze kusoma, kuandika na kuongea kiingereza kizuri
7. Kama anatoka nje ya mtwara atapatiwa malazi bure
8. Mshahara mzuri sana
COOK / MPISHI MMOJA
1. Awe chapa kazi mwenye kujituna na kuipenda kazi yake
2. Awe msafi na mwenye uwezo wa kusimama mwenyewe baada ya kuelekezwa menu
3. Awe na ujuzi wa kuchoma nyama vizuri pamoja na huduma ya A la carte
4. Awe na uzoefu usiopungua miaka 2 kwenye restaurant ya maana au
hotel yamaana sio mgahawa.
5. Awe mtu anaejiheshimu na anaheshimu wateja pia anauwezo wa kuelezea
chakula chake kwa wateja.
6. Awe mbunifu na mwenye kichwa chepesi cha kujifunza vitu vipya
7. Aweze kupika chakula chenye ladha
8. Kama anatoka nje ya mtwara atapatiwa malazi na mshahara mzuri.
KWA MAHOJIANO YA SIMU KABLA YA KUTUMA CV PIGA SIMU HII
0685 116440
UKIFANIKIWA UTAPATA EMAIL NA KUTUMA CV YAKO.
MMILIKI
VICTORIA HOTEL
MTWARA.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...