TAREHE NA MUDA
|
TUKIO
|
MAHALI
|
JANUARI 26, 2014 SAA
10:00 JIONI
|
MWILI KUCHUKULIWA
KUTOKA HOSPITALI YA RUFAA MUHIMBILI NA KUPELEKWA NYUMBANI KWA MAREHEMU BAHARI
BEACH
|
HOSPITALI YA RUFAA
MUHIMBILI – KUELEKEA BAHARI BEACH
|
JANUARI 27, 2014 SAA 4:00 ASUBUHI
|
KUANZA KUWASILI KWA
WAOMBOLEZAJI NYUMBANI KWA MAREHEMU
|
BAHARI BEACH NYUMBANI KWA
MAREHEMU
|
SAA 6:00 ADHUHURI – 7:30
MCHANA
|
CHAKULA CHA MCHANA
|
BAHARI BEACH NYUMBANI KWA
MAREHEMU
|
SAA 7:40 MCHANA
|
MWILI WA MAREHEMU KUONDOKA
NYUMBANI KUELEKEA KANISA LA MTAKATIFU ANDREA- BAHARI BEACH
|
NYUMBANI KWENDA KANISANI
|
SAA 8:00 MCHANA
|
IBADA KUANZA
|
KANISANI
|
BAADA YA IBADA MSAFARA WA MAZISHI
KUELEKEA MAKABURINI –BAHARI BEACH
|
MAKABURI YA BAHARI BEACH
|
|
Home
Unlabelled
RATIBA YA MAZISHI YA MWANARELI MAREHEMU MHANDISI ADAM MAYANZANI NGALIGA ALIYEFARIKI GHAFLA ASUBUHI JANUARI 23, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...