UPENDO NA FURAHA MINISTRY ni Huduma ya Kikristo inayo jihusisha na kuwahudumia wagonjwa waliopo majumbani wachanga pamoja na wazee.
Huduma inatangaza nafasi za kazi ya KUWAHUDUMIA WAGONJWA WALIOPO MAJUMBANI NA WAZEE, kwa vijana wa kikristo walio okoka.
SIFA ZA MWOMBAJI :
i. Awe kijana wa kikristo aliye okoka na mwenye hofu kuu ya Mungu.
ii. Elimu ya kuanzia darasa la saba hadi kidato cha nne.
iii. Awe mkaazi wa jijini Dar Es salaam.
iv. Awe maridadi na mwenye kujituma.
v. Awe tayari kufanya kazi ya kuwahudumia wagonjwa waliopo majumbani na wazee wanao hudumiwa na huduma hii waliopo jijini Dar Es salaam.
MAJUKUMU YA KAZI :
Kwa watakao pata kazi hii, watakuwa na jukumu la kuwahudumia wagonjwa waliopo majumbani pamoja na wazee wanao hudumiwa na huduma hii katika wilaya za Ilala, Kinondoni na Temeke.
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 31 JANUARI 2014.
Kazi itaanza rasmi tarehe 03 FEBRUARI 2014.
Leta maombi yako moja kwa moja katika ofisi zetu.
Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa SIMU : 0784406508


Ni vizuri kujua ni huduma za kanisa gani.
ReplyDeleteTunaomba kujua ni huduma za kanisa gani pamoja na anuani yenu, na historia fupi.
ReplyDeletePia huduma zipi watakazotoa maana kama ni health related services wahitimu wa darasa la saba na form wanaweza hatarisha maisha ya watu??
ReplyDeletekozi fupiza nursing zinahusika. Vinginevyo chukueni manurse itakuwa nzuri zaidi. Wapomwanamaliza la saba wanasomea nursing. Huduma zenu zikoje?
ReplyDelete