Wanafunzi 4 wa Shule ya sekondari ya Sabodo iliyopo mkoani Mtwara,wamefariki huku wengine zaidi ya 35 wakmiwa wamejuruhiwa katika ajali
iliyotokea iliyotokea mapema leo asubuhi baada ya wanafunzi hao kugongwa na gari
walipokuwa katika mazoezi ya asubuhi (Mchakamchaka) shuleni hapo ambayo ipo Pembezoni
mwa barabara kuku ya Mtwara ,Lindi kuelekea Dar es salaam.
Waliofariki katika ajali hiyo iliyowakuta wanafunzi hao wa Shule ya Sekondari ya Sabodo ni Ailat,Nasma na Hilda mmoja bado
hajafahamika,Wote ni wanafunzi wa kidato cha kwanza na wametambulika kwa jina moja moja kwa kila mmoja..
Majeruhi wamekimbizwa katika hospitali ya Ligula,mkoani humo kwa ajili ya matibabu zaidi.
Globu ya jamii inaendelea kufatilia na taarifa kamili itawajia baadae kidogo.
inna lillah wa inna ilayhi rajiun
ReplyDelete