Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi,Profesa Sifuni Mchome(wa pili kulia) akiwa na Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha(ATC)Dk Richard Massika(kulia)akikagua shamba la majaribio la wanafunzi wa stashahada na Shahada ya Uandisi Umwagiliaji alipotembelea chuo hicho wikiendi hii.
 Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi,Profesa Sifuni Mchome( kulia) akizungumza na mwanafunzi wa taaluma ya Uandisi Umwagiliaji katika Chuo cha Ufundi Arusha(ATC)Christopher Mahenge alipotembelea chuo hicho wikiendi hii
 Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi,Profesa Sifuni Mchome akiwa na uongozi wa Chuo cha Ufundi Arusha(ATC)akikagua shamba la majaribio ya Uandisi Umwagiliaji.
 Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi,Profesa Sifuni Mchome akiwa kwenye moja ya madarasa ya mafunzo ya kuongeza thamani madini.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi,Profesa Sifuni Mchome( wa pili kulia) akiwa pamoja na uongozi wa Chuo na baadhi ya wanafunzi.Picha zote na Arusha Technical College

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. UANDISI UMWAGILIAJI ni taaluma mpya au inatokana na uboreshaji wa elimu Tanzania?

    ReplyDelete
  2. Kuelekea zama za Sayansi na Tekinolojia,

    Mtahiniwa unaingia Chumba cha Mtihani, unaandika Namba ya Mtihani juu ya karatasi ulilopewa, unauchapa usingizi hadi muda wa kukusanya Makaratasi,,,pamoja na hivyo unapata Gredi za mwisho na Cheti cha Masomo cha kuhitimu!!!

    Maafa makubwa Kielimu nchini kwa sasa ni kuwa ktk Mitihani ya Elimu ya Sekondari hakutakuwa na Division ZERO, hakutakuwa na F Grade ktk masomo, hakutakuwa na KUKOSA CHETI KWA KUPATA DIVISION ZERO!!!

    Hivi kweli huu ni utaratibu mzuri wa kuwa hakuna Kufeli?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...