Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Jay msangi, kijana wetu wa canton OH.du!kamanda huyu ana uono mpana sana zaidi ya Wizara/idara au taasisi husika pale DAR.Hii ndio inapelekea hawa jamaa kulia lia hovyo kwenye mitandao kwani wanashindwa kumudu kasi yake na hivyo kufanya kila wawezavyo kudhoofisha ndoto yake.Jay kawapelekea mambo makubwa sana mbayo yako juu sana ya peo au uono duni na finyu uliozoeleka na usiopenda mbadala pale Dar hasa kwenye fani hii ya ndondi.Kifupi tuu ni kwamba ,Jay hadaiwi na yeyote na vielelezo vipo vya kuthibitisha haya.Deformation of character iangaliwe sana hapa.Si ustaarabu kumchafua mwenzako kwa allegations ambazo si sahihi kwani itafika kipindi utashindwa kutetea allegations zako pindi ukiulizwa.
    Inaonekana bado ni ngumu sana kwa idara/taasisi hapa Tanzania kushirikiana kikamilifu na wana DIASPORA kama bwana Jay Msangi.kwani tumetawaliwa sana na fikra za mjuano, ujuaji wa bila vielezo thabiti,maneno mengi hatimae uongo wa kupindukia,utendaji hafifu,rushwa na kuabudu miungu ya giza.
    Pole sana bwana Jay ila siku moja utatambulika kwa mchango wako hapa nchini. kumbuka kuwa hata baadhi ya manabii wa Mungu hawakuthaminiwa kwao bali nje ya nchi au jamii zao..hivyo usife moyo na Muombe Mwenyezi Mungu na atakuongoza.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...