ODYSSEY WANAKUPA 'GOING BACK TO MY ROOTS' MWAKA 1981
-Makala hii ni kwa udhamini wa The Legend is Back @ Isumba Lounge, Dar es salaam ambao wameingia mkataba na Globu ya Jamii leo hii kurudisha enzi za enzi za disco katika miondoko ya Old School. Usikose kuchungulia hapa kila siku kuanzia saa 12 asubuhi usikie na kuona mambo ya Isumba Lounge kwa mwezi huu mzima wa Februari 2014.

NARUDI LIKIZO MWISHO WA MWEZI UJAO. SIKOSI ISUMBA LOUNGE!
ReplyDeleteNARUDI LIKIZO MWISHO WA MWEZI UJAO. SIKOSI ISUMBA LOUNGE!
ReplyDelete"cheki bobu poa! amevaa tina buu!....., kama una pati, nione leo tushindane kwa maua! those were the times!, we did not care whether we knew the lyrics or not!, we just translated the lyrics in KISWAHILI, admittedly in our own ways in order to fit with what was going on around us at the time! brilliant.
ReplyDelete