Naibu Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo,Mh. Juma Nkamia akimkabidhi tuzo ya bondia bora wa mwaka 2013 kwa ngumi za kulipwa,Francsis Cheka wakati wa utoaji tuzo za PSPF BOXING AWARDS zilizofanyiaka katika ukumbi wa PTA Sabasaba,Jijini Dar es Salaam.
Meneja Mpango wa Uchangiaij wa hiyari kutoka PSPF ,Mwanjaa Sembe kushoto akimpatia Tuzo ya upiga picha bora wa mchezo wa masumbwi pamoja na uhamasishaji mchezo huo,Rajabu Mhamila 'Super D' wakati wa utoaji wa Tuzo hizo kwa mabondia zilizofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba jijini Dar es  salaam.

Naibu Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo,Mh. Juma Nkamia akimkabidhi tuzo ya bondia bora wa mwaka 2013 kwa ngumi za ridhaa,Gelvars Rogasian wakati wa utoaji tuzo za PSPF BOXING AWARDS zilizofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba,Jijini Dar es Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Huyu naibu waziri ametokea na shati hilo kwenye picha nyingi. Hivi hana mashati mengine au anayo mengi ya aina hiyo?

    ReplyDelete
  2. Ebwana mbona majina mengi na taswira za mabondia wengine sizioni, hata kama wamewakilishwa si lazima kuwe na taarifa flani zikiambatana na picha za wawakilishi wao??Wapi Francis Miyeyusho??? Wapi Maneno Oswadi????

    ReplyDelete
  3. Mdau wa kwanza acha ngenga bwana....tukijima na kubana matumizi nongwa....tukijiachia...mafisadi.

    ReplyDelete
  4. MTOA MAONI WA KWANZA ACHA CHUKI KWA MTANZANIA MWENZIO,TOA MAONI YA KUJENGA...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...