Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt Salmin Amouralipomtembelea kumjulia hali nyumbani kwake Zanzibar Jumatatu Januari 13, 2014 baada ya kuhudhuria sherehe za miaka 50 ya Mapinduzi.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt Salmin Amouralipomtembelea kumjulia hali nyumbani kwake Zanzibar Jumatatu Januari 13, 2014 baada ya kuhudhuria sherehe za miaka 50 ya Mapinduzi. PICHA NA IKULU




mimi nakupendea hapo jakaya kwa kuwajulia hali wenzio huna mpinzani kila unapopata nafasi na mm naamini kama si maswala ya itifaki tungekuona kijiweni unapiga story
ReplyDeleteAn outglowing heart is one of the basic tenets of a good leader.
ReplyDelete