Cristiano Ronaldo akimwaga chozi baada ya kutangazwa mwanasoka bora wa FIFA kwa mwaka 2013 usiku wa kuamkia leo jijini Zurich, Uswisi huku mwanae Cristiano Junior na Pele pamoja na Rais wa Chama cha Soka cha Ufaranza Francois Moriniere wakishuhudia.
Cristiano Ronaldo na mwandani wake, Lionel Messi na Mwandani wake wakati wa sherehe hizo.
CHEKI VITUZZZZ VYA RONALDO HAPO CHINI
...JAMAAA NI NOMA!




Christiano alikuwa ameikamia sana hii zawadi mpaka kufika kulia!!
ReplyDelete