Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia Mabalozi na wawakilishi wa taasisi za kimataifa wakati wa Sherehe ya Kuukaribisha Mwaka Mpya
(Sherry Party) aliyowaandalia Ikulu jijini Dar es salaam leo January 10, 2014.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wengine wakisikiliza hotuba toka kwa Balozi wa DRC nchini Mhe Asumani Mpango ambaye pia ndiye Kiongozi wa Mabalozi nchini akihutubia wakati wa Sherehe ya Kuukaribisha Mwaka Mpya(Sherry Party) Ikulu jijini Dar es salaam leo January 10, 2014.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja Mabalozi na wawakilishi wa taasisi za kimataifa wanawake wakati wa Sherehe ya Kuukaribisha Mwaka Mpya (Sherry Party) aliyowaandalia Ikulu jijini Dar es salaam leo January 10, 2014.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja Mabalozi na wawakilishi wa taasisi za kimataifa wakati wa Sherehe ya Kuukaribisha Mwaka Mpya (Sherry Party) aliyowaandalia Ikulu jijini Dar es salaam leo January 10, 2014. PICHA NA IKULU






Picha ya kwanza kutoka chini.Huyo balozi/mwakilishi wa kwanza kutoka kushoto mwenye vazi jekundu ni wa nchi gani(vazi la nchi gani)?.Utadhani mwalimu wa KARATE/KUNG FU ha ha haa.Vazi la Taifa muhimu.Naweza ku-spot wengine wawili- mmoja kutoka Afrika Magharibi(Ghana,Nigeria,Senegal,nk) na wale SINGH aka singa singa'
ReplyDeleteDavid V
Huyo wa kwanza ni wa Russia
ReplyDelete