Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Waziri Mkuu Msaafu Mzee Cleopa David Msuya aliyelazwa katika hospitali ya Taifa Muhimbili jana jijini Dar es Salaam.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakimjulia hali Waziri wa nchi Afisi ya Rais Kazi na Utumishi wa Umma wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar(SMZ) Bwana Haroun Ali Suleiman aliyelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam, Jana (Jumanne)(picha na Freddy Maro).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. jakaya tutakukumbuka ukimaliza muda wako ww ni kiongozi sio mtawala

    ReplyDelete
  2. Jakaya you are exceptional president! wengi tutakulilia.Mwenye macho haambiwi tazama.

    ReplyDelete
  3. Mie nitakukumbuka tu kama utapigana vita na madawa ya kulevya. Upo kimya sana, why? Nchi inapoteza sifa tunasachiwa maairport kama sijuhi kiru gani.
    Kuna siri gani muheshimiwa mbona upo kimya au kwa vile inasemekana na mwanao anahusika?
    Michuzi freedom of speech and asking questions sijatukana mtu.

    ReplyDelete
  4. Mengi yatasemwa lakini ukweli utabakia kuwa huyu ni Rais rafiki na mwenye upendo wa hali ya kipekee. Si kumkumbuka tu Bali tutajutia kubeza mengi mazuri
    Aliyoifanyia Tanzania. A president with a big heart! Naamini pamoja na changamoto nyingi katika kipindi chake cha uongozi, tuzo ya Ibrahim Mo, inamsubiri yeye tu baada ya kukosa marais waadilifu kwa kipindi kirefu. God willing, inshallah mapenzi ya Mungu yatimizwe.
    Amina.

    ReplyDelete
  5. Kweli utakumbukwa kwa mengi na kiongozi wenye uongozi wenye tabasamu ya mafanikio,lakini nukumbusha barabara zetu za kuingia mitaa mikubwa kuanzia ubungo kimara mbezi zitengenezwe kiwango cha lami tumesahaulika sana,mitaa mingi ina lami kwenye wilaya nyingine za dsm lakini sisi tumesahaulika,sijui labda ni itikadi inachangia.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...