Home
Unlabelled
TAMKO LA WAZIRI SIMBA KUPINGA MAUJI YA WANAWAKE MARA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mauaji ya Akina mama na Wanawake yalaaniwe vikali!!!
ReplyDeleteHivi pana aliyeiona dunia bila mama?
Unapumuua mwanamke huoni ya kuwa huyo ni kama mama yako ama binti yako mwenyewe?
Jamani tunakwenda wapi?
Hivi hakuna njia nyingine ya kuendesha maisha bila vitu vya Kuamini amini kuwa mauaji ya binaadamu mwingine ndio Msingi wa kupata Utajiri?
This is too much!
ReplyDeleteHivi pana Profesa yeyote wa Biashara amewahi kushauri ya kuwa mauaji ndio msingi wa kufanikisha biashara ama kuwa Tajiri?
Hivi tunaingia vipi Karne hii ya 21 ya Sayansi na Tekinolojia huku Kiakili(kwa ufinyu wa uelewa) na Kisaikolojia tukiwa tungali kwenye Karne ya 12?
Tujifunze kuishi na kufikia malengo kwa kujiamini!!!
Ingawa Adhabu ya Kifo imekataliwa Duniani kutekelezwa kwa watu wanaofanya unyama huu kwa uchache wangekuwa wanafungwa Kifungo cha maisha!!!
ReplyDeleteAma wapewe Vifungo virefu zaidi ya umri wa kawida wa binaadamu mfano Zimbabwe Mtuhumiwa wa Ubakaji aliyefanya matendo 21 (kubaka wanawake 21) kufungwa jumla ya miaka 290 Gerezani.