Mkurugenzi Mkuu wa EPZA, Dkt. Adelhelm Meru (kulia) akielezea jambo kwa Naibu Waziri wa Biashara na Viwanda wa Afrika ya Kusini, Bi. Elizabeth Thabethe (katikati) na Balozi wa Afrika ya Kusini nchini Tanzania, Bw. Thanduyise Chiliza (kushoto). Ujumbe wa maafisa mbalimbali uliitembelea EPZA jana jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa EPZA, Dkt. Adelhelm Meru (kulia) na Msaidizi wa Mkurugenzi Mkuu wa Kiwanda cha nguo cha Tanzania Tooku Garments Ltd, Bw. Rigobert Massawe (wa pili kulia) wakitoa zawadi kwa Naibu Waziri wa Biashara na Viwanda wa Afrika ya Kusini, Bi. Elizabeth Thabethe (kushoto) wakati ujumbe huo ulipotembelea kiwanda hicho kilicho ndani ya eneo la EPZA jana. Wa pili kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Afrika ya Kusini, Bi. Radhia Msuya.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...