H.E. Mohamed Hamza (right), Ambassador of the United Republic of Tanzania to Israel with residence in Egypt, presents his Letters of Credence to H.E. Shimon Peres, the President of the State of Israel.  The ceremony took place on the 2nd of January, 2014 at the Presidential Palace in Jerusalem. 
President Peres of Israel witnesses Ambassador Hamza as he signs the visitors book at the Presidential Palace in Jerusalem.  
President Peres holds a discussion with Ambassador Hamza. 
President Peres escorted out Ambassador Hamza after they finished their discussion.  Also in the photo is Mr. Nyamanga (right - behind Ambassador Hamza), Head of Chancery at the Embassy of Tanzania in Egypt. 
Ambassador Hamza as he walks out of the Israel Presidential Palace, while the Guards salute him with Tanzania National Anthem.  

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. Ikiwa sasa Tanzania inayo uwakilishi wa ki-diplomasia na kwamba kabisaa tunaye Hon. Hamza Mohamed, balozi wa Tanzania nchini Islael, hii ni habari mpya na sura mpya ya muelekeo wa mustakabali wa ustawi na maendeleo ya taifa letu......MUNGU Ibariki Tanzania

    ReplyDelete
  2. Lakini kumbuka anakaa Miisri

    ReplyDelete
  3. Ni hatua njema kuelekea kwenye bar aka Kwa nchi yet. Maana imenenwa kwamba atakayeibariki Israel Kwa maana ya kuwa name mahusiano mema na nchi hiyo naye atabarikiwa. Mungu ibariki Israel, Mungu ibariki Tanzania

    ReplyDelete
  4. wewe mdau wakwanza ufikirio wako mdogo sana...na watu kama nyinyi nirahisi kuchotwa akili...Tatizo hamusomi historia si yenu wala ya nje.dont forget is uncle SAM

    ReplyDelete
  5. Islael?
    Miisri?

    TWENDE SHULE!

    ReplyDelete
  6. Ndio Israel.....huyo ni balozi wa tz nchini Misri na anasimamia nchi karibu tano yaan misri, Israel, lebanon etc

    ReplyDelete
  7. Tofauti za ki-itikadi za wachangia mada hii ndicho kinachogongana hapa wala siyo kitu kingine.... watu wetu wengi wanatafuta majibu ya hoja mbalimbali kisiasa na kwa sababu hiyo wanapotea sana...hawayajui maandiko wala hawazitambui nyakati tulizonazo - ni ignorance!

    ReplyDelete
  8. Uncle SAM hujamwelewa huyo mdau wa kwanza anaongea kitu gani, mchangia mada wa tatu (katika mtiririko toka juu) anaonekana ameelewa nini kinazungumzwa hapa.

    Hizi ni mambo za "doctrines" mzee wangu siyo siasa hiyo....
    hazugumzii hoja ya maendeleo & ustawi wa TZ kupitia kutembeza bakuri kama unavyofikiri wewe, tunazungumzia nini maandiko yanasema [Genesis 12:3]...Jifunze kudadafua mambo kabla hujatoa maoni yako, hakuna shortcut kwenye life.

    ReplyDelete
  9. Haya tuone sasa Tza. ipate hayo maendeleo wanayosema CHADEMA!

    Kwa muda mrefu wamekua wakidai eti Tza haiwezi kuendelea kwa vile haina uhusiano na ISRAEL.

    Sijui imekuwaje wenzetu hawa wakahusisha maendeleo na taifa la Israeli? wakati Waisraeli wamepata maendeleo kwa kujituma, sisi tunadhani tutaendelea tu kwa kuwa na uhusiano na wao..ridiculous!

    ReplyDelete
  10. @Anonymous wa 8

    Ndugu yangu maandiko yapo na tunayaheshimu sana lkn. tutumie na akili kidogo kwani vyote vinatoka kwa Mungu

    Kwa kufuata maandishi pekee, tulitarajia leo hii UJERUMANI iwe nchi masikini na yenye migogoro mingi kwa kuwatendea vibaya WAISRAELI lkn. ndio EUROPEAN ECONOMIC POWER!

    ReplyDelete
  11. Mafanikio ya kiuchumi yawe katika level ya family, jamii na hata taifa hayaji kama mvua. Lazima kuwe na sera makini, watu lazima wawe committed kufanya kazi; rasilimali lazima zitumike kwa uadilifun.k.

    Lakini kwa upande mwingine, "Germany - Israel diplomatic relation" si imeanza tangu 1965....this is definitely sufficient time kwa taifa lolote lililo serious kujenga uchumi wake...of course, "genocide of 6 million Jews during the Holocaust" ingetarajiwa kufanya Ujerumani & Islael wasiwe kabisa na uhusiano wa ki-diplomasia lakini mambo ni tofauti kabisa!

    ReplyDelete
  12. Kuna lugha gongana. Naona watu wanatoa referece ya Waisrael wakiwa na maana Jews. Israel ni taifa ambalo wengi wao wanafuata dini ya Kiyahudi (Jews)lakini humo humo kuna Waarabu, Waethiopia, European n.k. wanaishi Israel ambao sio Wayahudi (Jews).

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...