KATIBU WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA ANASIKITIKA
KUTANGAZA KIFO CHA MFANYAKAZI WA OFISI YA BUNGE BI. CONSOLATA MAGERE KILICHOTOKEA KATIKA HOSPITALI YA TAIFA
MUHIMBILI DAR ES SALAAM USIKU WA TAREHE 10/01/2014. MAZISHI YATAFANYIKA DODOMA TAREHE 14/01/2014.
BWANA ALITOA, BWANA AMETWAA, JINA LAKE
LIHIDIWE. AMINA!
Ofisi ya Bunge
Dar es Salaam
Poleni Sana, RIP Conso
ReplyDelete