Home
Unlabelled
TASWIRA ZA JINSI Wafuasi wa chadema na wale wanaomuunga mkono zito waLIVYOtunishiana misuri mahakamani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
WENGI WAO HAPO NI VIBAKA
ReplyDeleteThe mdudu,huyo alieshika jiwe mungu amlani maishani mwake hatuhitaji hayo mambo,Chadema ni chama sio binaadamu ww ulieshika hilo jiwe utakufa ww hicho chama utakiacha lakini huyo unaetaka kumpiga na hilo jiwe bahati mbaya ukimuua hutomuona tena hapa duniani utabaki tu nafsi yako ikikusuta mwenyewe,ushindwe ww na ulegee na mungu akupe nguvu za pamba au sufi,,I hate u from 2day
ReplyDeletewabongo acheni ushabiki.
ReplyDelete
ReplyDeleteSerikali ya CCM jamani fanyeni juu chini kuongeza kiwanda watu wapate ajira na taasisi za elimu pia zitiliwe mkazo watu wasome kwa bidii tuondokane na huu ujinga
zaidi ya yoote majimbo jamani majimbo naona hata kwenye katiba mpya hakuna mtu alie kumbuka hicho kitu Tanzania inahitaji independet states na zila state iwe ha sheria zake na hisi haya yatapungua
chadema wamekusanya vibaka kwenda kuleta kuvuruga utulivu mahakamani ili w2 waone inapendwa kweli kumbe uhuni tu na kwa taarifa yenu hiyo ni dalili ya kushindwa kila kitu mbele yenu..........
ReplyDeleteHICHO NDICHO CHAMA KINACHOTAKA KUWA NA JESHI LAKE. NAAMINI KILA MMOJA WETU ATAKUWA NA PICHA YA INGEKUWA VIPI KAMA CHADEMA INGEKUWA NA JESHI LAKE LA "ULINZI". MATENDO YANAYOFANYWA NA VIONGOZI NA WAFUASI NI ISHARA TOSHA KWAMBA CHADEMA SI CHAMA CHA SIASA KWA MASLAHI YA DEMOKRASIA NA MAENDELEO YA TAIFA. CHADEMA HAINA SURA YA DEMOKRASIA WALA HAIJUI DEMOKRASIA BALI INAJUA UIMLA NA FUJO.
ReplyDeleteAMANI
Wasomi hawo tuliozalisha kwa vyuo vya kata.
ReplyDeleteZZK ni mnafiki wa hali ya juu,mtu kama huyu kwenye chama chochote ni lazima kuondolewa .
ReplyDeleteOhhh hivi ndivyo Chadema mlivyo?
ReplyDeleteFuji zote na nini wakati suala lipo kwenye Sheria?
Nani atawapa Kura mwaka 2015?
Halafu mnataka mpewe Serikali muongoze?
ReplyDeleteYaani mpo Mahakamani tena Mahakama Kuu lakini hamuheshimu wala kuwa na tahadhari mnakuwa kama mpo Maskani vile.
Ni wazi kwa kuwa hamuheshimu Mihimili ya Sheria kwa kufanya fujo ktk eneo la Vhombo cha juu kabisa cha Sheria nadhani hamtufai ktk Uongozi!!!
Aliyeshika jiwe afungwe miaka kumi bila ya dhamana
ReplyDeleteSura zote za kina NGAUTI,BWASHEE,MANGI MELI,MFONGONYI,KIDEWAA,KIMBORIKO,Yesuuu na maria mungu nyife
ReplyDelete