Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. WENGI WAO HAPO NI VIBAKA

    ReplyDelete
  2. The mdudu,huyo alieshika jiwe mungu amlani maishani mwake hatuhitaji hayo mambo,Chadema ni chama sio binaadamu ww ulieshika hilo jiwe utakufa ww hicho chama utakiacha lakini huyo unaetaka kumpiga na hilo jiwe bahati mbaya ukimuua hutomuona tena hapa duniani utabaki tu nafsi yako ikikusuta mwenyewe,ushindwe ww na ulegee na mungu akupe nguvu za pamba au sufi,,I hate u from 2day

    ReplyDelete
  3. wabongo acheni ushabiki.

    ReplyDelete


  4. Serikali ya CCM jamani fanyeni juu chini kuongeza kiwanda watu wapate ajira na taasisi za elimu pia zitiliwe mkazo watu wasome kwa bidii tuondokane na huu ujinga

    zaidi ya yoote majimbo jamani majimbo naona hata kwenye katiba mpya hakuna mtu alie kumbuka hicho kitu Tanzania inahitaji independet states na zila state iwe ha sheria zake na hisi haya yatapungua

    ReplyDelete
  5. chadema wamekusanya vibaka kwenda kuleta kuvuruga utulivu mahakamani ili w2 waone inapendwa kweli kumbe uhuni tu na kwa taarifa yenu hiyo ni dalili ya kushindwa kila kitu mbele yenu..........

    ReplyDelete
  6. HICHO NDICHO CHAMA KINACHOTAKA KUWA NA JESHI LAKE. NAAMINI KILA MMOJA WETU ATAKUWA NA PICHA YA INGEKUWA VIPI KAMA CHADEMA INGEKUWA NA JESHI LAKE LA "ULINZI". MATENDO YANAYOFANYWA NA VIONGOZI NA WAFUASI NI ISHARA TOSHA KWAMBA CHADEMA SI CHAMA CHA SIASA KWA MASLAHI YA DEMOKRASIA NA MAENDELEO YA TAIFA. CHADEMA HAINA SURA YA DEMOKRASIA WALA HAIJUI DEMOKRASIA BALI INAJUA UIMLA NA FUJO.

    AMANI

    ReplyDelete
  7. Wasomi hawo tuliozalisha kwa vyuo vya kata.

    ReplyDelete
  8. ZZK ni mnafiki wa hali ya juu,mtu kama huyu kwenye chama chochote ni lazima kuondolewa .

    ReplyDelete
  9. Ohhh hivi ndivyo Chadema mlivyo?

    Fuji zote na nini wakati suala lipo kwenye Sheria?

    Nani atawapa Kura mwaka 2015?

    ReplyDelete
  10. Halafu mnataka mpewe Serikali muongoze?

    Yaani mpo Mahakamani tena Mahakama Kuu lakini hamuheshimu wala kuwa na tahadhari mnakuwa kama mpo Maskani vile.

    Ni wazi kwa kuwa hamuheshimu Mihimili ya Sheria kwa kufanya fujo ktk eneo la Vhombo cha juu kabisa cha Sheria nadhani hamtufai ktk Uongozi!!!

    ReplyDelete
  11. Aliyeshika jiwe afungwe miaka kumi bila ya dhamana

    ReplyDelete
  12. Sura zote za kina NGAUTI,BWASHEE,MANGI MELI,MFONGONYI,KIDEWAA,KIMBORIKO,Yesuuu na maria mungu nyife

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...