Meneja Mauzo wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Ilala, Jesca Njau (kushoto) akimkabidhi Mkurugenzi wa Kampuni ya Mbindo, Phillemon Haule (kulia), mfano wa hundi yenye thamani ya sh. mil. 68 ikiwa ni msaada wa kugharamia ukarabati wa miundombinu ya maji katika wodi ya wazazi ya Hospitali ya Rufaa ya Amana, Ilala Dar es Salaam juzi. Wanaoshuhudia ni Mhandisi wa TBL, John Malisa (wa pili kushoto) na Mganga Mkuu wa hospitali hiyo, Dk. Meshack Shimwela.
Meneja Mauzo wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Kanda ya Ilala, Jesca Njau (kushoto) akimkabidhi Mganga Mkuu wa Hospitali ya Rufaa ya Amana, Dk. Meshack Shimwela (wa pili kulia), mfano wa hundi yenye thamani ya sh. mil. 68 ikiwa ni msaada wa kugharamia ukarabati wa miundombinu ya maji katika Wodi ya Wazazi ya katika hospitali hiyo.Wanaoshuhudia makabidhiano hayo yaliyofanyika hospitalini hapo Dar es Salaam juzi, ni Mhandisi wa TBL, John Malisa (wa pili kushoto) na Mkurugenzi wa Kampuni ya Mbindo, Phillemon Haule.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...