Mmoja wa wauzaji wa nguo za mitumba katika soko la Meimoria akiwa amejificha chini ya meza ya kuuzia nguo kukwepa askari polisi pamoja na maofisa wa shirika la viwango Tanzania (TBS) wakati wakifanya operesheni ya kukamata wauzaji wa nguo za ndani.Mwananmke huyo alitoka chini ya meza baada ya kubembelezwa na wenzake hata hivyo wakati askari polisi akimtaka kwenda kupanda gari la polisi mwanamke huyo alikimbilia tena chini ya meza hiyo,askari polisi wakalazimika kumucha.
Akijieleza kwa askari Polisi.
Askari polisi wakikusanya nguo za ndani katika soko la Meiomoria wakati wa operesheni ya kukamata wauzaji wa nduo hizo zilizopigwa marufuku.
Askari polisi akimsindikiza mwanamke mmoja ambaye jina lake halikufahamika mara moja baada ya kukutwa akiuza nguo za ndani zilizopigwa marufuku katika soko la Meimoria mjini Moshi.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Mnashindwa kukamata mafisadi mnakamata wafanyabihashara wadogo wadogo wanaojitafuta pesa ya kunulia mboga ya jioni? Shame on you.

    ReplyDelete
  2. Naungana mkono na mchangiaji hapo juu. Aibu kubwa kwa nchi yetu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...