Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mwakilishi wa Taasisi isiyo ya Kiserikali kutoka Nchni Marekani (Opportunity Education Foundation) Bw.Joe Ricketts,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na ujumbe wake aliofuatana nao leo.
Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...