Mgeni rasmi katika kipute hicho alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Misenyi na hapa akisalimiana na wachezaji kabla ya mtanange kuanza katika uwanja wa Kaitaba.Mkuu wa Wilaya ya Misenyi mkoani Kagera, Kanali Mstaafu Issa Njiku (kulia) akisalimiana na mchezaji wa Mtibwa Sugar ambaye pia ndie aliyekuwa Mgeni rasmi kwenye mtanange huo ambao timu zote zimamaliza dakika 90 kwa sare ya kutofungana na kugawana pointi moja moja.
Timu zote mbili zikimsikiliza Mgeni Rasmi Mkuu wa Wilaya ya Misenyi mkoani Kagera, Kanali Mstaafu Issa Njiku, kabla ya mtanange kuanza.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Kabla ya mechi....
    Kagera Sugar vs Mtimbwa Sugar

    Baada ya mechi.....
    Kagera Sugra 0 Mtimbwa Sugar 0

    Nafikiri hivi ndiyo ilitakiwa kuandikwa na siyo kama ilivyoandikwa katika heading hapo(Kagera Sugar 0 v/s Mtibwa Sugar 0 )

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...