Meneja Uendeshaji wa maduka ya Vodacom Tanzania,Elihuruma Ngowi(katikati)akishirikiana na wasimamizi wa Duka jipya la Vodacom Sinza kumekucha Bw.Baraka Nyirenda wakwanza kushoto na Bw.Davis Mkonyi(kulia)wakikata utepe kuashiria kuanza rasmi kwa huduma kwenye duka hilo jipya lililopo eneo la Sinza Kumekucha Dar es salaam.Duka hilo litakuwa likitoa huduma kwa siku saba za wiki ikiwemo siku za sikukuu.
Baadhi ya wafanyakazi wa duka la Vodacom Tanzania wakigonganisha glasi za mvinyo ikiwa ni ishara ya kulitakia mafanikio duka hilo jipya lililopo Sinza kumekucha Jijini Dar es salaam mara baada ya kuzinduliwa rasmi.
Meneja Uendeshaji wa maduka ya Vodacom Tanzania,Elihuruma Ngowi(kulia)akimwelezea mteja wa kwanza Bw.Paul Mashauri ubora wa simu aina ya Huawei P-6 zinazopatikana katika duka la Vodacom lililopo Sinza kumekucha mara baada ya kuzinduliwa rasmi.Duka hilo litakuwa likitoa huduma kwa siku saba za wiki ikiwemo siku za sikukuu.
Baadhi ya wafanyakazi wa duka jipya la Vodacom Tanzania lililopo sinza kumekucha jijini Dar e s Salaam wakiwa kwenye picha ya pamoja baada ya duka hilo kuzinduliwa rasmi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hongereni Vodacom, lakini juhudi zenu ziende sambamba na kuboresha quality ya voice na data hususan maeneo kama Mabibo hostel hadi riverside,Dar es salaam ambako tumewalilia kwa miaka na mmeziba masikio yenu.Mnatutia hasara na tunaona kama mnatudharau.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...