Waziri Mkuu Mstaafu,Mh. Dkt. Salim Ahmed Salim akiongea na mgeni wake Mheshimiwa Balozi wa Nigeria,Bw. Ishaya Majanbu aliyemtembelea ofisini kwake jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuwasilisha ujumbe wa mwaliko maalum wa Rais wa Nigeria Goodluck Jonathan kushiriki katika Kongamano la Viongozi Wakuu wa Nchi na Serikali barani Afrika litakalofanika nchini Nigeria kwenye kilele cha sherehe za maadhimisho ya miaka 100 ya Muungano wa Shirikisho la Nigeria.
Home
Unlabelled
Balozi wa Nigeria nchini amtembelea Dkt. Salim ofisini kwake jijini Dar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Muungano wa Nigeria kutimiza Miaka 100 si mchezo!
ReplyDeleteSio sisi hii miaka 50 tunatoana kamasi !!!