Mkuu wa mkoa wa Singida, Dk.Parseko Vicent Kone akizungumza kwenye uzinduzi wa mpango wa Tiba kwa kadi (TIKA) katika halmshauri ya manispaa ya Singida uliofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Aque Vitae Resort mjini Singida. Kushoto ni mkuu wa wilaya ya Singida, Queen Mlozi.
Meneja msaidizi wa mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya mkoa wa Singida, Isaya Shekifu, akizungumza muda mfupi kabla ya kumkaribisha mkuu wa mkoa wa Singida.Dk.Parseko Kone, kuzindua mfuko wa Tiba kwa kadi (TIKA) katika manispaa ya Singida. Walioketi kutoka kulia ni mkuu wa wilaya ya Iramba,Yahaya Nawanda na Mstahiki Meya wa manispaa ya Singida,Sheikh Salumu Mahami.
Mkuu wa wilaya ya Iramba mkoa wa Singida,Yahaya Nawanda, akitoa mada yake iliyohusu mfuko wa afya ya jamii (CHF) kwenye mkutano wa wadau wa afya wa manispaa ya Singida.
Nakuona Mkufunzi wangu 'Mama Mlozi' huna makuu, easy going. Unanikumbusha wakati huo ukitufundisha somo la Uongozi pale 'MOTCO'. Hongera sana kwa hatua uliyofikia kiutendajii, wastahili pongezi za dhati. Hakika umchapa kazi hodari na upo 'dedicated' na majukumu yako, I 'salute' you! Mola akulinde na kukupandisha daraja katika utendaji wako wa kazi. Nakutakia kila la kheri, In Sha Allah.
ReplyDelete