Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya kutoka kundi la TMK Wanaume halisi "Juma Nature"akiwapagawisha mashabiki waliofurika katika Bonanza la Cheka Bombastiki lililofanyika kwenye ufukwe wa Coco beach jijini Dar es Salaam,Likiwa mahususi kwa wateja wa Vodacom Tanzania wakati wa sikukuu ya mwaka mpya.
Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya kutoka kundi la TMK Wanaume halisi "Juma Nature"akiwapungia mkono mashabiki wake wakati akipanda jukwaani kutumbuiza katika Bonanza la Cheka Bombastiki lililofanyika katika ufukwe wa Coco beach jijini Dar es Salaam,Likiwa mahususi kwa wateja wa Vodacom Tanzania,wakati wa sikukuu ya mwaka mpya.
Mwanamuzi chipukizi, Sheby Live akionesha kipaji cha kuimba wakati wa tamasha la kusherehekea mwaka mpya la Bombastiki Bonanza lililoandaliwa na kampuni ya Vodacom Tanzania na kufanyika katika Ufukwe wa Coco jijini Dar es salaam juzi.
Mmoja wa mashabiki wa muziki wa kizazi kipya, Lucy Benatus akionesha kipaji chake wakati wa tamasha la kusherehekea mwaka mpya la Bombastik Bonanza lililoandaliwa na kampuni ya Vodacom Tanzania na kufanyika katika Ufukwe wa Coco jijini Dar es salaam juzi.
Mwanamuzi chipukizi, Ghasia Amiri akionesha kipaji cha kuimba wakati wa tamasha la kusherehekea mwaka mpya la Bombastik Bonanza lililoandaliwa na kampuni ya Vodacom Tanzania na kufanyika katika Ufukwe wa Coco jijini Dar es salaam juzi.


.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...