Home
Unlabelled
Mh. Lowassa atangaza kuanza safari ya ndoto yake ya muda mrefu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
One serious Mistake has been noted from this man
ReplyDeleteKazi ipo kweli kweli!!! Yaani kati ya sehemu zote umeamua kwenda kutangaza nia ya kugombea urais kanisani?
ReplyDeleteKumbe kupita pita kote kule kugawa pesa LENGO KUU LILIKUWA NI HILI...
ReplyDeleteWATANZANIA TUKUMBUKE WOSIA WA BABA WA TAIFA
da hii kali kutangaza nia kanisani, au ndo atakuwa mtawala wa madhehebu yake tu?
ReplyDeleteWhy tangaza kanisani hapo kachemsha..!!
ReplyDeleteMpende msipende huyu ndo rais mtarajiwa..bongo tunahitaji watu wagumu kama huyu na hakuna kosa lolote kutangazia kanisani wakati yy ni mkiristo.
ReplyDeletewadau wengine misone ajabu kutangaza kanisani, yeye kama mtanzania, mkristo, baba, babu, mwanakijiji au mmasai kati ya kofia alizonazo, angeweza kutoa tangazo kwa wana famili ana marafiki, au waumini wenzake kama alivyofanya.
ReplyDeletehuyu katosheka na ataweza kulitumikia taifa ipasavyo.
tumuunge mkono
Watu wagumu na wenye kashfa ya wizi kama huyu. Ninaweza nishindwe kuwazuia wengine lakini hata abake yeye na jiwe simpi kura yangu. Mimi yangu ni kashfa ya Richmond na kuwafanya watu wejinga. Amekuwa akifukuza watu kazi hadharani huku mwenyewe akilitia Taifa hasara kupindukia. MIMI NINASIKIA KICHEFUCHEFU MNAPOMPA NAFASI KUBWA KWENYE MEDIA BWANA HUYU. Kwa hakika ninasema kwa kumstahi na kuchagua maneno!
ReplyDeleteWww jamaa hauna uwelewa kabs. Huyo jamaa ndio raisi wa kweli na ndiye raisi wakwa 2015 penda msipende
DeleteMtapiga kelele lakini nchi ndiyo hiyo Lowassa anachukua.
ReplyDeleteJamaa kasha rizika, hivyo hata kaa kuangaika kutuma watoto wake madawa ya kulevya, au kuiba wanyama pori.
Issue ya Richmond inajulikana ni nani muhusika. The Guy is clean kwa hili.
Kufukuza watu kazi hadharani ndicho hasa Tanzania tunachotaka ili mambo yanyooke. Wazembe kama nyie mnaosikia kichefuchefu inatakiwa mnyooshwe ili vichefuchefu viishe. Muache kufanya kazi kwa mazoea. Tena ntafurahi sana kama Lowassa atabadilisha kazi zote serikalini ziwe za mikataba. If you can't perform your contract is not renewed.
Lowassa akitaka Urais ndiyo mnakumbuka wosia wa Baba wa Taifa, lakini ikija issue ya serikali tatu, sijui kuwajibishana na uzalendo wasio wa Baba wa taifa mnaweka kapuni..
Mara ya mwisho nilipiga kura kumchagua rais mwaka 2000, kwa hakiki 2015 lazima nikapange foleni tena kama jina la Lowassa litakuwepo kati ya wagombea.
ReplyDeleteKwa hili anaonekana ni mtu asiyepima vizuri mambo labda hana washauri wa kufaa.
Pesa zishamwagwa sasa
Mbegu za mahindi zishapandwa na nasikia mategemeo ni kuwa kila hindi moja litoe mahindi matatu matatu.
Baba Uraisi ni kitu serious sana sio tu kupita kutoa pesa huku na kule. KUNA VITU VINGI INABIDI TUVIANGALIE NA KWA ASILIMIA KUBWA SIDHANI KAMA HUYU NDUGU YANGU ANAVYO
ReplyDeleteHawa wanaomfagilia huyu bwana kwenye hizo comments hapo juu ni miongoni mwa wale walionufaika na MIGAO YAKE YA PESA ALIYOKUWA ANAPITA PITA KUGAW NCHI NZIMA.
JAMANI TUWE WAZALENDO TUACHE KUANGALIA MANUFAA BINAFSI TUANGALIE NI NANI ANATUFAA KWA DHATI NA WALA SI VINGINEVYO
Wewe unayezungumzia mtu mzalendo ndiye anayetufaa....nafikiri umuelewi Lowassa vizuri...
ReplyDeleteEbu angalia issue ya kugawa hela...je amewagawia kina nani? Je aliowagawia hizo hela walikuwa ni watanzania au?
Na je hizo hela zilizogaiwa zilitumikaje? ni katika maendeleo ya vikudi ili kuondokana na umaskini au la?
Kama mnasema kuna vitu huyu jamaa hana....ni nani basi ana vitu hivyo tumchambue hapa.
Tusimuonee wivu..haki yake apewe. Huyu ndiye jembe la kweli. Mimi hata shilingi yake moja sijawahi nufaika nayo, lakini kwa kusikiliza vision/ mtazamo wake katika karne hii...huyu ndiye anayefaa kuiweka sawa Tanzania hii. Wengine wote wanajaribu jaribu tu.....
Yesu ndio atakao tufikisha kwenye hii Safari na ndoto yetu ya MTanzania ya elimu ma maji.
ReplyDeleteWale msio wafuasi wa Yesu mpooo ?
Jamani huu ni U-Rais sio lelemama.
RAIS AWE MWANAMKE Jamani SALOME SIJAONA mama namzimia Huyu balozi Japan alikuwa katibu mkuu wa Ardhi .mama kichwa Yule
ReplyDeleteWewe unayezungumzia Yesu, na wafuasi wa Yesu huelewi maana na dini.
ReplyDeleteLowassa kwa imani yake, Yesu ndiye anayemsimamia shughuli zake.
Ndiyo maana siku ya kuapishwa rais, muhusika anashika bible au quruan kutokana na imani yake, na hiyo bible au quruan ndiyo msimamizi wake.
Mbona Kikwete alivyoshika quran wakati anaapishwa wale ambao hawakuwa wafuasi wa mtume hatukulalamika.
Tuache chokochoko za dini. Lowassa kwa imani yake anaamini kabisa Yesu ndiye msimamizi wa maisha yake. Kwa hili yuko sahihi kabisa. Mgombea mwingine naye akija akasema Mtume ndiye msimamizi wake tutamuelewa...
Ndugu zangu watanzania, tubadilike..
ReplyDeleteHatutaki mbahatishaji ...
Hatutaki Anayenunua Urais
Hatutaki Mdini
Hatutaki Mkabila
Hatutaki Mtu anayepakimbilia Ikulu
Hatutaki mwenye hangover ya uongozi kwani hana jipya
Tunataka Kiongozi mwenye rekodi ya utendaji kazi thabiti usio na doa lolote (kama lipo basi liwe dogo sana na liwe ni la kibinadamu)
Huyu nafikiri anatangaza nia ya kugombe ubunge 2015