Wanafunzi na walimu wao kutoka shule ya kimataifa ya International School of Tanganyika leo wametembelea watoto wa kituo cha Guardian Angels katika kuwatakia heri ya mwaka mpya. Wanafunzi hawa wamekuwa marafiki wa watoto wa Guardian Angels kwa muda sasa na wamekuwa wakiwasaidia vifaa vya michezo,chakula na mahitaji mengine.
Picha hizi mbalimbali ni wakati wakicheza katika viwanja vya kituo hicho. Tunawashukuru sana kwa upendo. Tunawakaribisha wadau wengine wenye mapenzi na watoto kuja kutembelea kituoni kwetu Mbezi-Temboni karibu na Sinon Collage. Tembelea www.angelstz.org
Wanafunzi na walimu wao kutoka shule ya kimataifa ya International School of Tanganyika wakicheza na watoto yatima wa kituo cha Guardian Angels
Wanafunzi na walimu wao kutoka shule ya kimataifa ya International School of Tanganyika na watoto wa Guardian Angels
Haya tucheze kidali pooo..
Nani aanze...
Wanafunzi na walimu wao kutoka shule ya kimataifa ya International School of Tanganyika katika picha za pamoja na watoto wa Guardian Angels


.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...