Kikosi cha Makomandoo kikionesha nidhamu na ukakamavu wa hali ya juu wakati wa kilele cha sherehe za miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar katika Uwanja wa Amani
Home
Unlabelled
Cheki makomandoo wetu walivyo fiti
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


Himahimaaaa, Tanzaniaaa
ReplyDeleteHimahimaaaa, Tanzaniaaa
Himahimaaaa, Tanzaniaaa.
Proud to be Tanzanian.
Hiki ni kile kikosi cha askari wa 'miguu' kama wajiitavyo wenyewe, tofauti na kile kikosi cha makomandoo. Hawa huwa wanakwenda umbali fulani tena kwa mwendo wa kasi huku wakiwa wamebeba shehena zao migongoni, usiombe ukaelemewa.
ReplyDeleteHulia mnyau hula kitweo?
ReplyDeleteMie Makame kuanzia leo navaa msuli nenda kondeni kuchuma karafuu, upinzani nihatari.
Majeshi yanatisha ame!
Mnyau ndio huo je Simba yuwaje?
Tuwe amkini, na tuache kutumiwa vibaya na Wanasiasa wachochezi, Majeshi yanatisha!
ReplyDeleteTutii amri na kujenga nchi!!!
Mchaka mchaka wa wazeewa kazi JWTZ kama huwo halafu mtu unachomeka mikono yako hapo, unafanya maandamano, unakiuka amri, kanuni na sheria za nchi.
ReplyDeleteUkiwa na akili timamu unajifahamu kabisa utendalo, unatenda Makosa, unakiuka Sheria za nchi, unaasi Utii kwa nchi.
Si mcheazo jamaa wapo kamili, msije kuyakanyaga baadae mnakimbilia kwenye Haki za binaadamu na Harakati za Demokrasia?
Hapo baadaye ukiangukiwa na ukuta huo wa miamba hiyo utamlaumu nani?
Waulizeni M23 huko Uganda walikokimbilia na kuhifadhiwa watawapa habari kamili kuhusu hao miamba JWTZ.
ReplyDeleteRigwaride hilo ra Geshi (jeshi) mmeliona?
ReplyDeleteHilo saga buti si mchezo, Jalamba la ukweli la kujinoa!
Ole wako wewe tumwa na hao wa kukutuma fanya fujo, lete ukorofi ukiangukia miguuni mwa Mabuti ya wanaume utakanyagwa na kuwa chapati!
Hahaha Mdau wa 6
ReplyDeleteHuo mchaka mchaka unaitwa kanyaga twende!
Jamaa mchaka mchaka wao sehemu unapo pita hata kama kenge, nyoka ama mjusi alikuwa kwenye majani pembeni atatoka mbio kujisitiri!!!
Kweli M23 wanayo habari kamili kuhusu vidume hawa.
Majeshi si mchezo.
Wahuni na Masela hufanya ujinga wao na fujo za, lakini mziki ambao hao jamaa JWTZ wanawasili kila Msela na njia yake!!!,,lazima watakimbia.
ReplyDeleteHao M23 SALAMU WATAZIPATA KUTOKA KWA WAGENI WAKIWEMO MARAISI WALIO HUDHURIA SHEREHE HIZI.
WATAAMBIWA TUMEWAONA JAMAA WAKIWA HOT KTK GWARIDE!!!
M23 waliopo kwenye hifahdi Uganda baada ya kushindwa vita Congo-DRC, wamesema ni afadhali washiriki Kilimo kuliko kukabiliana na Majeshi ya JWTZ ya Tanzania.
ReplyDeleteWanasema hata kwa Mshahara wa zaidi ya Dola Milioni moja hawatakubali tena kwenda vitani!
Wanasema afadhali Jembe mkononi kuliko Bunduki dhidi ya JWTZ-Tanzania!!!
Huo Mchaka mchaka wa Jeshi kama wakija sehemu mlikuwa mnacheza Kamari?
ReplyDeleteNi wazi kila kitu kitaachwa jamvini, hata kama ni fedha za ushindi!
Ohhh kila Msela atakuwa na nia yake mbio, hakuna kufuatana kila moja anaogopa mwenzangu atanilengesha halafu tutamatwe wote!