Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 21 mpaka sasa

  1. Bagamayo road maeneo ya Morrocco. Mkabala na kituo cha Total. Unaelekea mwenge

    ReplyDelete
  2. VICTORIA -Ali Hassani Mwiyi road

    ReplyDelete
  3. MtanganyikaJanuary 16, 2014

    Katikati ya Victoria na Morroco, New Bagamoyo Road kabla hujapita AAR ukitokea Mwenge.

    ReplyDelete
  4. Morroco kama unatokea mwenge opp na kanisa la Watakatifu wa siku za mwisho

    ReplyDelete
  5. Regent Estate, maeneo ya Victoria Petrol Station

    ReplyDelete
  6. Manzese kwa mfuga mbwa

    ReplyDelete
  7. Moroko kuelekea Mwenge

    ReplyDelete
  8. Mikocheni kwa mfuga farasi

    ReplyDelete
  9. Tandale Uwanja wa Fisi

    ReplyDelete
  10. ferry kwa mfuga thamaki

    ReplyDelete
  11. Kibada Mwembe Mtengu

    ReplyDelete
  12. Keko Magurumbasi kwa mfuga punda

    ReplyDelete
  13. Hapo ni ndani ya Jiji la MABWE PANDE mnapo pakataa hivi sasa jinsi patakavyo kuwa miaka 10 ijayo baada ya mauzo ya Gesi kuchanganya yaani mwaka 2024 !

    ReplyDelete
  14. Ahaa..nimepanyaka vizuri sana hapo. .ni pale kwa BABU WA LOLIONDO.

    ReplyDelete
  15. Dondwe, Mbagala

    ReplyDelete
  16. Hapo patakuwa Ubungo Maziwa karibu na tuta la tatu kutoka kwenye makutanio ya Reli....... Yikes ama panaweza kuwa Morroco kweye burger za maajabu ukielekea mwenge karibu na Uporoto street...

    ReplyDelete
  17. Kwa bibi nyau

    ReplyDelete
  18. ukitoka aar morocco ni viktoria petrol station jengo la lapf linaonekana na maduka ya vigae na gorofa jipya linalojengwa.ni maeneo hayo ya Victoria to makumbusho

    ReplyDelete
  19. Morroco to Victoria the erea between there to Petrol station!

    ReplyDelete
  20. Hapo ni barabara ya Himo njia panda kweda Dare es salaam.

    ReplyDelete
  21. Mbona kama Karagwe siku hizi tuna lami fulani. Samahani Kumbe umesema jiji la Dar-es-Salaam

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...