Haya, maji hayo......
 Waziri wa maji Prof Jumanne Maghembe akipanda mti katika eneo la mradi wa maji Kiboriloni.
 Mbunge wa jimbo la Moshi mjini Philemoni Ndesamburo akiotesha mti katika eneo la mradi wa maji Kiboriloni.
 Mkurugenzi wa mamlaka ya maji safi na maji taka mjini Moshi,Mhandisi Cyprian Luhemeja akiotesha mti katika eneo la mradi wa maji la Kiboriloni.
 Waziri wa maji Prof Jumanne Maghembe akiteta jambo na mbunge wa jimbo la Moshi mjini Philemoni Ndesamburo pamoja na Mstahiki Meya wa manispaa ya Moshi Jafary Michael. 
Afisa uhusiano wa mamlaka ya maji safi na maji taka mjini Moshi,MUWSA,Dorah Killo akitoa maelezo kwa waziri wa maji,Prof Jumanne Maghembe alipofanya ziara kutembelea na kuzindua mradi wa maji Kiboriloni. Picha zote na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii,Moshi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Muwasogezee mabomba ya maji ndani ya nyumba za wananchi. Tuachane na mambo ya watu kupoteza muda kutafuta maji. Watanzania ni wachapa kazi wanahitaji kuwezeshwa tu ili waondokane na umasikini.

    ReplyDelete
  2. Haya maeneo ya kiboriloni hakuna maji kabisa. wananchi wanasumbuka sana. ni vema tukawasogezea watu maji ili wapate muda mwingi wa kuzalisha badala ya kutafuta maji

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...