Ankal akiwa na wadau katika mnuso mmoja hivi karibuni jijini Dar es salaam, akionesha madhara ya kuvunja geti (gate crash) maana dress code ilikuwa kanzu na koti na makubadhi. Yeye kaulamba kivingine, adhabu yake ikawa kuchukuliwa kwa taswira hii ili iwe fundisho kwake na kwa wengine.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. kweli kavunja code, hivyo adhabu ilitosha? au aliongezewa nyingine...

    ReplyDelete
  2. Na kweli kwa hapo 'disco' limeingia Mmasai walojisemea watu.

    Ankal hapo keshajifunza, siku nyingine In Sha Allah, naona atavaa rasmi 'head to toe' Kiua kichwani (Kofia ya Kiua/ Baraghashia), kanzu, koti na kobadhi mguuni, kwa nyongeza tu fulana na seruni kwa ndani na tasbihi mkononi. By the way, nice image though.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...