Meneja wa Azania Bank tawi la Moshi,Hajira Mmambe akizungumza na wafanyakazi wa tawi hilo(hawapo pichani)wakati wa hafla fupi ya sherehe ya siku ya wapendanao iliyofanyika katika ofisi za tawi hilo mjini Moshi. Meneja huyo alitoa ujummbe kwa wafanyakazi wa tawi hilo kuendelea kudumisha upendo na mshikamano katika shughuli za kila siku ili kukamilisha mhimili mmoja kati ya mihimili mitano ya Azania bank yaani "Core Values" wa kufanya kazi kama timu"Team spirit".
Wafanyakazi wa benki ya Azania tawi la Moshi wakiwa katika picha ya pamoja kila mmoja akionesha zawadi aliyopata toka kwa mwenzake ikiwa ni sehemu ya kumbukumbu katika siku ya wapendanao"Valentine day".Picha na Dixon Busagaga wa globu ya jamii,Moshi.
Si mchezo mmetisha sana!. Big up to you all. Tegeta Branch
ReplyDelete