Home
Unlabelled
babu ayubu katika show ya kwanza ya evans bukuku comedy show 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kweli kila mtu na kipaji chake alichotunukiwa na Muumba. Takriban wote alowaigiza huna hata haja ya kuuliza hapa kamuiga nani au huyu ni nani, moja kwa moja unakhisi kama unamsikiliza muhusika mwenyewe. Nimependa alivyomuigiza Bi Fatma Bint Baraka a.k.a. Bi kidude (Mwenyeez Mungu amraham huko aliko na amughufirie kwa yote - Ameen). Kwa kweli nimekufa mbavu kwa kucheka., the way alivyowaigiza wahusika wote. Hongera sana na pongezi za dhati. Keep it up!
ReplyDelete