Naibu Katibu Mkuu wa
CCM, Bara Mwigulu Nchembba akimnadi mgombea ubunge kwa tiketi ya CCM
katika uchaguzi mdogo jimbo la Kalenga Godfrey Mgimwa, katika mkutano wa
uzinduzi wa kampeni za CCM uliofanyika leo, kwenye Uwanja wa Chuo Cha
Ifunda, Iringa Vijijini. 
Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM
katika uchaguzi mdogo jimbo la Kalenga Godfrey Mgimwa, akizungumza na
kuomba kura kwa wakazi wa mji Ifunda mapema leo jioni katika mkutano wa
uzinduzi wa kampeni za CCM uliofanyika leo, kwenye Uwanja wa Chuo Cha
Ifunda, Iringa Vijijini.
Baadhi ya wananchi na wanachama wa CCM wakiwa kwenye mkutano wa uzinduzi wa kampeni za uchaguzi mdogo jimbo la Kalenga,Iringa .
Baadhi ya Wanahabari wakiwa kwenye mkutano wa uzinduzi wa kampeni za uchaguzi mdogo jimbo la Kalenga,Iringa .
Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Bara Mwigulu Nchemba akizungumza na wakazi wa kijiji cha Ifunda mapema leo,wakati wa mkutano uzinduzi wa kampeni za CCM uliofanyika leo, kwenye Uwanja wa Chuo Cha Ifunda, Iringa Vijijini.
Mkutano wa uzinduzi wa kampeni za CCM ukiendeleo mapema leo jioni,kwenye Uwanja wa Chuo Cha Ifunda, Iringa Vijijini.PICHA NA MICHUZIJR-IRINGA.
Field Marshall Mwigulu Nchemba!!!
ReplyDelete