Jengo la skuli y Sekondary lililotembelewa na Balozi mdogo wa misri aliopo Zanzibar Walid M.Ismail alipofanya ziara ya kutembelea baadhi ya Skuli zilizojengwa na Jumuiya ya Muzdalifah Kisauni mjini Zanzibar.
Balozi mdogo wa Misri aliopo Zanzibar Walid M.Ismail katikati akipata maelezo kutoka kwa Mwenyekiti wa Muzdalifah Sheikh Abdalla Hadhar Abdalla wakwanza kushoto baada ya kuwasili katika Skuli ya Sekondary ya Farouk Aktas iliojengwa na Jumuiya ya Muzdalifah Zanzibar.
Balozi mdogo wa Misri aliopo Zanzibar Walid M.Ismail wakwanza kushoto akipata maelezo kwa Mwenyekiti wa Muzdalifah Sheikh Abdalla Hadhar Abdalla wakwanza kulia baada ya kuingia katika chumba cha kompyuta katika Skuli ya Sekondary ya Farouk Aktas iliojengwa na Jumuiya ya Muzdalifah Kisauni Zanzibar.katikati ni Mkuu wa Kitengo cha mafunzo ya Elimu na Ulinganiaji Said Abdalla Nasor.
Balozi mdogo wa Misri aliopo Zanzibar Walid M.Ismail akifurahia jambo baada ya kuingia katika moja ya madarasa ya Skuli ya Chekekea iliojengwa na Jumuiya ya Muzdalifah Kisauni Zanzibar.
Balozi mdogo wa Misri aliopo Zanzibar Walid M.Ismail akisalimiana na Watoto wa Skuli ya Chekechea iliojengwa na Jumuiya ya Muzdalifah Kisauni Zanzibar.
Balozi mdogo wa Misri aliopo Zanzibar Walid M.Ismail akiangalia baadhi ya Masomo wanayosomeshwa wanafunzi na namna wanavyoandika katika Skuli ya Primary iliojengwa na Jumuiya ya Muzdalifah Kisauni Zanzibar.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...