Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Bwana Said Meck Sadik akimpokea Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa mwalimu Julius Nyerere akitokea London Uingereza ambapo alihudhuria Mkutano uliojadili mbinu za kupambana na Ujangili duniani.Mkutano huo uliandaliwa na mwana mfalme wa Uingereza Prince Charles.(picha na Freddy Maro)
Home
Unlabelled
Rais Kikwete awasili nchini akitokea London
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Karibu nyumbani Rais wangu. Ila hilo blazer ni spesheli kwa safari?
ReplyDeleteBora tumpe rais wetu miaka kumi mingine ya uongozi najua tutafika mbali kikwete yuko juuu mungu ambariki
ReplyDeleteBlazer zikibadishwa kila siku mtasema pia: mambo ya Imelda Marcos wa Philipino! AU sio?
ReplyDelete