Addis Ababa,Ethopia,
Kiongozi wa bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band aka FFU aka Anunnaki Alien Kamanda Ras Makunja amewasili nchini Ethopia kwa ziara ya siku tatu ya kikazi,kwa ajili ya kuiporomoti CD mpya "Bongo Tambarare" ,baada ya wadau wa muziki nchini humo kuomba CD hiyo iweze kupigwa katika vituo vya redio nchini humo.
Wadau wa Ethopia wamevutiwa sana na mdundo uliomo ndani ya CD ya "Bongo Tambarare" yenye nyimbo tatu ambayo inasikika hapa:
Habari za uhakika zimetonya kuwa bendi hiyo pia itaenda nchini Urusi kwa mwaliko maalumu katika maonyesho michezo ya olympiki ya msimu wa baridi mjini Sochi. Kuwepo kwa hali ya baridi kali na barafu nyingi huko ulaya ! bado kunaleta maswali mengi juu ya ziara ya wakali hao wa muziki wa dansi FFU kama watasafiri na kupiga mzigo kama kawaida yao?
kikamanda ketu ras makunja mzee wa kufuga fuga bundi katika himaya ya viumbe wa ajabu Ze Anunnaki alien,
ReplyDeleteBaba mtukutu ras makunja hongereni sana kwa juhudi zenu
Field-marshal kamanda mkuu ras makunja wa ffu naona gwaride kama kawaida
ReplyDelete