Addis Ababa,Ethopia,
Kiongozi wa bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band aka FFU aka Anunnaki Alien Kamanda Ras Makunja amewasili nchini Ethopia kwa ziara ya siku tatu ya kikazi,kwa ajili ya kuiporomoti CD mpya "Bongo Tambarare" ,baada  ya wadau wa muziki nchini humo kuomba CD hiyo iweze kupigwa katika vituo vya redio nchini humo.
Wadau wa Ethopia wamevutiwa sana na mdundo uliomo ndani ya CD ya "Bongo Tambarare" yenye nyimbo tatu ambayo inasikika hapa: 
Habari za uhakika zimetonya kuwa bendi hiyo pia itaenda nchini Urusi kwa mwaliko maalumu katika maonyesho michezo ya olympiki ya msimu wa baridi mjini Sochi. Kuwepo kwa hali ya baridi kali na barafu nyingi huko ulaya ! bado kunaleta maswali mengi juu ya ziara ya wakali hao wa muziki wa dansi FFU kama watasafiri na kupiga mzigo  kama kawaida yao?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. kikamanda ketu ras makunja mzee wa kufuga fuga bundi katika himaya ya viumbe wa ajabu Ze Anunnaki alien,
    Baba mtukutu ras makunja hongereni sana kwa juhudi zenu

    ReplyDelete
  2. Field-marshal kamanda mkuu ras makunja wa ffu naona gwaride kama kawaida

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...