Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Lindi Bw. Nasoro Hamid akizungumza
na ujumbe toka Norway ulipofika ofisini kwake kwa lengo la kubadilishana
uzoefu juu ya namna nchi hiyo ilivyoweza kunufaika kwa kuwekeza
katika sekta ya gesi mnamo miaka ya 1970. Anayesaini kitabu ni Bw. Alaf
Jakobson Meya wa mji wa Hammerfest nchini Norway.
Meya wa mji wa Alstahaug Bw. Bard Anders akisaini kitabu cha
wageni mara baada ya kufika ofisini kwa Meya wa mji wa Lindi Bw. Frank
Magali mwenye miwani.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...