Baadhi ya Wadadisi na Wahariri wa Madodoso ya Utafiti wa watu wenye uwezo wa kufanya kazi wa mwaka 2014 , katika ngazi ya Kanda ya Pwani na Kusini yenye Mikoa ya Mtwara , Lindi, Dar es Salaam , Pwani na Morogoro ambao walishiriki mafunzo ya wiki tatu, mjini hapa , wakimsikiliza mgeni rasmi ( hayupo pichani) wakati wa kufunga mafunzo hayo

Katibu Tawala wa Mkoa wa Morogoro, Eliya Ntandu ( mwenye koti) akiwa pamoja na Mwakilishi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Makao makuu Jijiji Dar es Salaam , Muhiddini Mtindo ( mwenye kuvaa kofia), na Meneja wa Takwimu Mkoa wa Morogoro, Charles Mtabo ( kulia) , na ( kushoto ) ni Kaimu Mkurugenzi Msaidizi Taarifa za soko la ajira , Wizara ya Kazi na Ajira, Godwin Mpelumbe.
Katibu Tawala wa Mkoa wa Morogoro, Eliya Ntandu ( mwenye koti), katika picha ya pamoja na wadadisi wahariri wa madodoso ya utafiti wa watu wenye uwezo wa kufanya kazi wa mwaka 2014, baada ya kufunga mafunzo ya wiki tatu yaliyofikia tamati Februari , 2014 mjini Morogoro na walioketi ni viongozi waliosimamia mafunzo hayo. Picha na John Nditi
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...