Katibu wa Chadema wilaya ya Iringa vijijini Felix Nyondo akipokea fomu kutoka kwa Mwalimu Vitus Lawa (kulia) fomu za kuwania kinyang'anyiro cha kuwa mgombea wa chadema jimbo la Kalenga |
Baadhi ya wadau waliomsindikiza Mwalimu Vitus Lawa kurejesha fomu za kuchaguliwa kuwania ubunge wa jimbo la Kalenga katika ofisi za chama hicho zilizoko kata ya Gangilonga. |
Mwalimu Lawa akizungumza na wafuasi wake |
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...