Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Ernest Jumbe Mangu akisisitiza jambo kwenye mkutano Mkuu wa Maofisa Wakuu Waandamizi wa Jeshi la Polisi unaofanyika katika Chuo cha Taluma ya Polisi Moshi, mkoani Kilimanjaro. Mkutano huo umebebwa na kauli mbiu isemayo “Zingatia Weledi katika Kutoa Huduma Bora Kwa Jamii”.
Kamishna wa Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi (CP) Paul Chagonja akisisitiza kwa Makamanda wa mikoa na Vikosi wa Jeshi la Polisi kufanya kazi kwa kuzingatia sheria, kanuni na taratibu hususani katika kushughulikia migogoro, kwenye mkutano Mkuu wa Maofisa Wakuu Waandamizi wa Jeshi la Polisi unaofanyika katika Chuo cha Taaluma ya Polisi Moshi mkoani Kilimanjaro. Picha Na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Polisi wetu naona wanaenda sambamba na wakati wa digitali hapo.

    ReplyDelete
  2. Wakirudi kwenye vituo vyao wote wanakuwa wamesahau mafunzo hayo mazuri; wanafanya vile akili zao zinavyowatuma na kuifanya serikali ichukiwe

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...