Kipindi hiki hurushwa TBC1 kila Jumamosi na Jumapili saa 3 asubuhi. Mtoto usikose!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. TUNAZIHITAJI KWENYE YOUTUBE ILI WATOTO WETU WA HUKU MAJUU WAJUE KISWAHILI JAMANI NIMEFURAHI SANA KUMBE TUNAWEZABIG UP TBC.

    ReplyDelete
  2. Mdau wa pili, kuwa majuu haina maana yoyote. Mzungu hawezi akakuwachia wewe mmatumbi utengeneze vikatuni. Mawazo yenu yameshatekwa kwamba mmatumbi kazi anazoweza ni za mikono, warehouse na carehome. Watoto wako wataishia kuwa vibaraka tu.

    ReplyDelete
  3. Ipo tayari YouTube pia @anony

    ReplyDelete
  4. Hii nimeipenda ipo juu

    ReplyDelete
  5. Anonymous wa #3,February 04, 2014
    Ujinga nao ni janga la taifa, kwani watu kuwa majuu hawawezi kujifunza au kujua Kiswahili?!. Roho mbaya yako na wengineo wote wanaowachukia kaka na dada zao kwa vile wako majuu haziendelezi maendeleo. Bado watakuwa wa bongo tu. Upende usipende jinyonge tu kwa roho yako mbaya.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...