Kipindi hiki hurushwa TBC1 kila Jumamosi na Jumapili saa 3 asubuhi. Mtoto usikose!
Home
Unlabelled
introducing JJ Ubongo Kids Cartoon
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Safi sana
ReplyDeleteTUNAZIHITAJI KWENYE YOUTUBE ILI WATOTO WETU WA HUKU MAJUU WAJUE KISWAHILI JAMANI NIMEFURAHI SANA KUMBE TUNAWEZABIG UP TBC.
ReplyDeleteMdau wa pili, kuwa majuu haina maana yoyote. Mzungu hawezi akakuwachia wewe mmatumbi utengeneze vikatuni. Mawazo yenu yameshatekwa kwamba mmatumbi kazi anazoweza ni za mikono, warehouse na carehome. Watoto wako wataishia kuwa vibaraka tu.
ReplyDeleteIpo tayari YouTube pia @anony
ReplyDeleteHii nimeipenda ipo juu
ReplyDeleteAnonymous wa #3,February 04, 2014
ReplyDeleteUjinga nao ni janga la taifa, kwani watu kuwa majuu hawawezi kujifunza au kujua Kiswahili?!. Roho mbaya yako na wengineo wote wanaowachukia kaka na dada zao kwa vile wako majuu haziendelezi maendeleo. Bado watakuwa wa bongo tu. Upende usipende jinyonge tu kwa roho yako mbaya.