Home
Unlabelled
JK alipoongea na diaspora wa Tanzania waishio Singapore juu ya uraia pacha
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
"Personally, I see no harm". Thank you Mr. President!
ReplyDeleteSijui kama huyu mama aliyeuliza swali amemwelewa Mhe. Raisi. Manake mhe. Raisi ameenda kitaa "lianzishe" huyu manake hajaelewa kitu...lol
ReplyDeleteNanukuu "Personally, I see no harm....", well said Mr Presidentk, you have brought me hope, I am a Tanzanian living abroad for over 20 years, still investing back home in properties, land and mining, and am looking for my children take at some point, with dual citizenship things will be much easier for them, with or without, they will inherit everything I have accrued through the years.
ReplyDeleteHuyu Profesa anayepinga Uraia pacha anaitwa Profesa Baregu. Lakini ni Mtu mmoja Kati ya watanzania millions 40.
ReplyDeleteAt least some can arrange and manage the president to talk with his citizens.. Hongera sana ila kwa hapa UK inakua issue kwa sababu ya ubinafsi.
ReplyDeleteMnaojiita viongozi wetu kuonana na Raisi peke yako na mumewako si busara hata iwe vipi rizki hatoi Raisi maana hata yeye anamtegemea Allah...
Kueni ndio maana napinga haya mambo ya Diaspora hayana manufaa yeyote kwa nchi maana yaliokua Huko hapa yapo Mara Mia.
Uraia Pacha tutaangalia na ikiwezekana tutawapatia, isipokuwa tunakuwa na wasiwasi sana nanyi kwa:
ReplyDelete1.Kitendo chenu cha baadhi yenu kufikia kuukana Utanzania hii itatia shaka!
2.Ingawa zipo sababu za Kiuchumi kwenu kuwepo nje ya nchi, wapo wengine haieleweki uwepo wao nje ya nchi wanafanya huko?,,,kwa vile pana wengine wameshatajwa sana Ughaibuni kujihusisha masuala ya Uhalifu.
3.Msitegemee kuutaka Uraia Pacha halafu mutazamie kupewa Uongozi ama Uraisi Tanzania, kwa kuwa Uongozi na hasa huo Uraisi unategema sana kiwango cha Uzalendo cha muhusika, sasa mliukana Uraia wa Tanzania mkipewa Uraia Pacha tutawapa vipi Uongozi ama Uraisi?
Halafu eti leo mnataka Kikwete awapatie Pasipoti ya Pili?
Mdau wa 6 umesema kweli!
ReplyDelete...'mliukana Utanzania ,Halafu eti leo mnataka Kikwete awapatie Pasipoti ya Pili?'
Na tena kwanza si ndio ninyi mlimkimbia Kikwete mkamwachia nchi aijenge peke yake?
Ahhh,ahhh,ahhh,
ReplyDeleteMimi naunganga na huo msimamo wa Profesa Baregu kukataa Uraia Pacha:
Hivi jamani ni kiwango gani cha Uasi kwa nchi mtu Ukaukana Uraia wako mtukufu wa Tanzania?
Ama ukaishi nje ya nchi kwa miaka kadhaa bila sababu za kueleweka na huku ukifanya kazi zisizo eleweka?
Kama unalalamika haliduni na shida zaTanzania sasa ulitaka nani atatue matatizo hayo kama sio wewe mwananchi ukishirikiana na Viongozi na Serekali?
Kwa Hoja zangu hizo hapo juu, nadhani tutawafikiria Uraia Pacha (ama kuweka mazingira rafiki na kubadili baadhi ya Policies ili kuwapa nafasi kushiriki ktk ujenzi wa nchi yenu ya asili Tanznia) lakini msitegemee tuwaamini kwenye mambo nyeti kama kendesha Mambo ama ya kupewa Uongozi kuwaongoza Wananchi wa Tanzania!!!
Madiaspora wa nje,
ReplyDeleteMsiwe na tamaa ya kutaka huku na huku!
Tanzania haiwezi kuiga kila kitu kinacho fanywa na nchi zingine duniani, mfano hili suala la Uraia Pacha.
Kumbukeni ya kuwa hii ni JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA !
Mfano tusiende mbali, hapa hapa ktk eneo letu la EAC (Afrika ya Mashariki)kutoka na Mtaji wetu na hazina yetu kubwa kwa Fursa za Kiuchumi, Utulivu na Usalama ukimwuuliza mwana EAC wa nchi jirani kuhusu Uraia Pacha ama Pasipoti ya Pili atapendelea apate ya TANZANIA!,,,si mliona Operesheni Kimbunga ilivyo furumusha watu hapa?
Mtabaki na Uraia wenu mlio nao kwa sasa, TANZANIA NI NCHI YA PASIPOTI MOJA TU!
TUTAWEKA MAZINGIRA RAFIKI YA NINYI KUSHIRIKI KTK TANZANIA, AMA KUREKEBISHA BAADHI YA SERA.
Mimi nipo Tanzania,
ReplyDeleteSijawahi kuomba Visa ya nchi yeyote duniani,
Na wala sina haja ya kwenda popote duniani,
Ninyi wa nje muendelee na Uraia wenu huko,lakini karibuni sana kama mkitaka kututembelea ama tutajenga uwezekanowa kushirikiana nanyi na wala sio kuwapa Pasipoti ya Tanzania!.
Nina Uraia wangu wa Tanznaia, kama kuwa na Pasipoti nitakuwa na ya nchi yangu Tanzania.
Ahsante sana Mheshimiwa Rais kwa usemi wako "Personally I see no harm"
ReplyDeleteAsanteni Sana wanaDiaspora kwa ombi menu.
ReplyDeleteSidhani mama Kuna mtu 'Aliyekana' uraia wake WA Tanzania kama wachangiaji engine walivyoainisha. Nadhani neno zuri la kutumika hapa Ni 'Kupoteza' uraia baada ya kupata uraia WA nchi nyingine..
Kuhusu uzalendo kwa nchi yetu tukufu Tanzania, naomba kuuliza Je yupi Ni mzalendo zaidi yule anayeishi nje ya nchi akifanya kazi halali na kujitahidi kutuma vijisenti kusaidia nyumbani au yule anayeishi Tanzania akifanya ufisadi WA kunyonya rasili Mali za nchi na kuhamishia mapato yake ya ufisadi nje ya nchi?
Anonymous no#12 mie naulizaga swali ilo ilo, Uzalendo ni nini? Kipimo cha uzalendo nini? Kukaa ndani au ndani ya nje? Halafu hawa jamaa wanopinga uraia pacha mbona inakuwa kama mtu mmoja au wote wameenda shule moja!? Maana maneno yao na sababu zao ambazo hazina mantiki ni zile zile, kila wakitoa maoni humu? Halafu naona imekuwa fashioni siku hizi kuwasema jamaa wa Ughaibuni kama ilivyokuwa mtu akiwa na uwezo kidogo watu walimwita fisadi. This people are the ones need to prove they're not robots, SMH.
ReplyDelete