Miaka minne iliyopita, tarehe kama ya leo, ni siku ambayo hatuwezi kuisahau kamwe. Ni siku ambayo ulituacha ndugu zako katika majonzi makubwa sana. Ingawa hatukuoni, hatuongei na wewe, hatubadilishani mawazo kama ilivyokuwa wakati wa uhai wako, hatujaacha kukukumbuka na kukuombea kwa Mwenye ezi Mungu kila siku.
Unakumbukwa sana Mama yako, ndugu na jamaa zako wote. Mwenye ezi Mungu Ailaze roho yako Mahala Pema Peponi, Amina.
Inna Lillahi wa inna ilaihi raji'un! |
Home
Unlabelled
Kumbukumbu ya Marehemu Saidaty Mfilinge
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Mwenye ezi Mungu mwingi wa rehema, muweke mahala pema peponi Saidat, Ameen!
ReplyDelete