Rais Jakaya Kikwete akiongea kuhusu mbinu za kukabiliana na ujangili na biashara haramu ya meno ya tembo na pembe za faru, ambapo katika mkutano maalumu wa tatizo hilo leo huko Lancaster House jijini London, Uingereza leo, mependekeza kupigwa marufuku kwa biashara hiyo ulimwenguni kote ili kuua biashara hiyo.
Home
Unlabelled
JK APENDEKEZA KUPIGWA MARUFUKU YA BIASHARA YA MENO YA NDOVU NA PEMBE ZA FARU DUNIANI ILI KUUA SOKO LAKE
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
The mdudu,hongera kwa maneno yako ambayo wengi wao hawajasema kama ulivyosema ww na kuwaacha midomo wazi huku wasiamini walichokisikia toka kwako,,maana wanajua kabisa wao ndio watakao umia sn
ReplyDeleteLakini kwa nini msianze na hawa wanaotajwa hapa Tanzania? Kamata wao funga miaka mingi, ikiwezekana wanyongwe. Na kama sharia hairuhusu, bsi na itungwe.
ReplyDeleteHivi kupiga marufuku mnafikiri ndio itaua soko la hayo meno?? Itakachofanya ni kuongeza thamani tu!! Mbona madawa yanapigwa marufuku lakini ndo kwanza biahsara inakorea??
ReplyDelete