Mwenyekiti wa kamati ya Ardhi,maliasili na mazingira,James Lembeli akiwa ameongozana na naibu waziri wa maliasili na utalii,Mahamud Mgimwa pamoja na kaimu mkurugenzi mkuu TANAPA,Martin Loibooki katika lango kuu la kuingia hifadhi ya taifa ya Arusha(ANAPA).
kaimu mkurugenzi mkuu TANAPA,Martin Loibooki akizungumza jambo wakati kamati ya ardhi,maliasili na mazingira ilipotembelea na kuzungumza na watumishi wa hifadhi ya taifa ya Arusha.
Wajumbe wa kamati ya ardhi,maliasili na mazingira,Mh Bulaya,Mh Kiwhelu na Mh Chombo wakifuatilia maelezo toka kwa mhifadhi mkuu wa hifadhi ya taifa ya Arusha(hayupo pichani).
Nilifikiri wanaCHADEMA kumbe!
ReplyDeleteSIjui wako wapi tena wameshaharibu na kukimbia kama kawaida ya siasa ya nchi zetu