Mkufunzi
kutoka Shirika la Opportunity Education Foundation (OEF), la
Marekani, Lisa Beth Walker, akitoa mafunzo kwa walimu wa shule ya sekondari ya
Tusiime jijini Dar es salaam kuhusu namna ya kutumia kompyuta za viganjani
(tablets) ikiwa ni maandalizi kwa wanafunzi wa shule hiyo kuanza kusoma kwa
kielekroniki.
Home
Unlabelled
mafunzo ya kusoma kielektroniki shule ya tusiiime, Dar es salaam
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...